小火箭百度云下载
Karibu ICANNWiki "Inampa kila mtu sauti kwenye siku za usoni za mtandao." |
|
|
|
|
Kuhusu ICANNWiki | ||||
手机虚拟专用网络设置 ni shirika la kijamii ambalo limejitolea kusaidia ushirikiano wa jamii ya mtandao unaolenga kubuni makala ya ICANNwiki kuhusu ICANN na mijadala inayaohusiana na utawala wa mtandao.
| ||||
Shukrani Maalum | ||||
Toa msaada kwa Malengo yetu:
Nafasi za udhamini | ||||
INTERNET GOVERNANCE WORKSHOP |
Chuo Kikuu cha Dodoma kinapenda kutangaza kozi ya muda mfupi itakayoendeshwa kuanzia tarehe 18-20 Mwezi wa Tisa, 2017, Dodoma. Hakuna gharama katika kushiriki mafunzo haya yatakayoendeshwa na wataalamu waliobobea katika fani ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kutoka ndani na nje ya Nchi. Kama utahitaji kushiriki katika mafunzo haya wasiliana nasi (mictanzania@live.com) |
Video iliyohusishwa
Kuhusu ICANN
ICANN ni mshika dau mkuu ulimwenguni, shirika lisilo la kifaida ambalo linamudu rasilmali za mtandao kwa manufaa ya umma. Inajulikana kwa wadhifa wake kama mwendeshaji wa kiufundi wa mfumo wa majina mtandaoni (Domain Name System). Makao yake makuu ni Los Angeles, California, Marekani. ICANN ina vitovu Istanbul, Los Angeles, na Singapore. Pia ina afisi shirikishi Beijing, Brussels, Montevideo, Washington, na Nairobi.